manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 164
- 203
Ainisha wateja wa bidhaa yako; ikiwa na maana ya kwamba jamii yako inayokuzunguka inataka niniKaka unaweza kufafanua kidogo ?
Mkuu fanya kuniunganishaungekua mwanza ningekukutanisha na jamaa yangu mmoja kwa mtaji wa 30000 anakunja 40000 kama profit kila jioni.
Mkuu mimi nipo mwanza tujuzane hapaungekua mwanza ningekukutanisha na jamaa yangu mmoja kwa mtaji wa 30000 anakunja 40000 kama profit kila jioni.
Acha uongo we dogoungekua mwanza ningekukutanisha na jamaa yangu mmoja kwa mtaji wa 30000 anakunja 40000 kama profit kila jioni.
Hii idea ya kuuza mpunga naona imenivutia zaidi. Asante kakaTafuta eneo eneo tupu unaweza kulipia kwa makubaliano na mwenye eneo anzisha kutoa huduma ya kuosha magari na pikipiki hapa huitaji fremu Wala leseni unaitaji water pressure ambayo ipo ndogo na pipa zile kubwa za pembe nne
Kama upo tayari unaweza kwenda mkowani kununuwa mazao vijijini Kisha ukaenda kuuza mjini mf unanunuwa mpunga mbeya vijijini unaenda kuuza mbeya mjini
NangojaNgoja waje kukupa muongozo...
Sawa kaka. Kwahiyo nikae tu bila kazi mjini si patanishinda ? Ndo mana naomba mawazo ya nini cha kufanya kwa nilicho nacho sasa hivi.Milioni moja ndogo sana mdogo wangu
Asante sana kwa ushauri kakaBiashara zote unazizifikiria zitakukata haraka sana. Chukua laki mbili ama tstu chongesha kabati ya alminium ile ya vioo, chukua laki moja nenda sokoni kanunua mchanganyiko wa matunda nanasi, tango, embe, ndizi uthen nunua na disposable pan ama zile bakuri za karatasi ama plastic nunua na nylon foil njoo ukate matunda utafute kijiwe kizuri uanze kuuza salad ya matunda. Utakuwa umetumia si zaidi ya laki 5. Inayobakia mfungulie mzazi mwenzaki kimgahawa kidogo mtaan na ukitaka kutusua mapema ondoka home kama bado kapange chumba na huyo mschana, nakuahidi hautojuta ushauri wanfu.
Mkuu mbona unaweza kupigwa tu 🤣😂🤣Acha uongo we dogo
Unazani kwa mtaji huo ukimpa huo mchongo hawezi fika mwanza?
Walikuwepo akina Ontario makontawa wa upigaji sembuse wewe
Mkuu, Tupe share hapaMkuu fanya kuniunganisha
Wewe ni mjasiriamali nimependa wazo lako.Tafuta eneo eneo tupu unaweza kulipia kwa makubaliano na mwenye eneo anzisha kutoa huduma ya kuosha magari na pikipiki hapa huitaji fremu Wala leseni unaitaji water pressure ambayo ipo ndogo na pipa zile kubwa za pembe nne
Kama upo tayari unaweza kwenda mkowani kununuwa mazao vijijini Kisha ukaenda kuuza mjini mf unanunuwa mpunga mbeya vijijini unaenda kuuza mbeya mjini