golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Angalia hapo kwa juu kuna sticky kibao zina ideas nyingi za biashara.Isitoshe katika jukwaa hili kuna watu kibao washapost thread zenye maswali ka lao.Usiwe mvivu.Anza kusoma mwanzo mwisho wa post za jukwaa hili nina uhakika utatoka na kituWakuu habari zenu,
Mi ni muajiriwa wa kampuni binafsi.Nataka niache kazi nijikite kwenye biashara, ila mtaji wangu ni milioni saba.Naomba ushauri wenu, ni biashara gani naweza kufanya, na mchanganuo wake upoje.
Nawasilisha