Mtaji wa million 5 naweza kufanya biashara gani Arusha?

Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela

Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
 
Hata mim nipo Arusha natamani kufanya biashara ya tv sabufa simu
 
Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Kwa huo mtaji asogee hapo Nairobi acheki soko la spices liko vizuri
 
Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Kaka naomba niulize swali dogo tu, mfano nimenunua simu zenye thamani ya 5mil pale border kuingia Tz wanaweza nichaji ngapi?
 
Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Imesha iyoo...
 
Kama hutojali tuwasiliane ndugu tuangalie tuna fanyaje pia siyo vibaya ukashea mawazo ziadi hapa wadau tupo wengi kwa faida ya wengi kuhusu upatikanaji wa bidhaa Nairobi
 
Back
Top Bottom