Harrison Runkulatile
New Member
- Jul 2, 2018
- 1
- 0
Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela
Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela
Hata mim nipo Arusha natamani kufanya biashara ya tv sabufa simuNiko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Kwa huo mtaji asogee hapo Nairobi acheki soko la spices liko vizuriNiko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Kaka naomba niulize swali dogo tu, mfano nimenunua simu zenye thamani ya 5mil pale border kuingia Tz wanaweza nichaji ngapi?Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Imesha iyoo...Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Unaongelea ushuru au bei ya kusafirisha kwa gariKaka naomba niulize swali dogo tu, mfano nimenunua simu zenye thamani ya 5mil pale border kuingia Tz wanaweza nichaji ngapi?
UshuruUnaongelea ushuru au bei ya kusafirisha kwa gari
Kama hutojali tuwasiliane ndugu tuangalie tuna fanyaje pia siyo vibaya ukashea mawazo ziadi hapa wadau tupo wengi kwa faida ya wengi kuhusu upatikanaji wa bidhaa NairobiNiko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
Vipi mleta Uzi ulishaenda Nairobi, tunasubili mrejesho nasi tuungane na ww
naomba utusaidie kuhusu hiyo biashara ya spices, je unatoaa spices arusha kupeleka nairobi au nairobi kupeleka arushaKwa huo mtaji asogee hapo Nairobi acheki soko la spices liko vizuri