Ama kweli elimu ya darasani nitofauti ma elimu ya kitaa.
Nmesoma ktk maisha ya chini sana ukijumlisha kiasi cha ada toka primary mpaka form six hakifiki laki sita; wakati leo mtoto wa kindergaten hata fedha ya mhula mmoja haitoshi so ukali wa maisha unabana.
Na sasa najarbu kutoka nje ya box la utegemezi wa mshaara tu ila sijui niaanzie wapi.
Siku za nyuma nilikuwaga nawaza nikipata hata one million ntaanza biashara,Leo nina mil 5 lakini sijui ntoke vip?
Wakuu nionesheni njia wapi pa kupita least niweze pata faida ya 20000/day.
Plz nahitaji ushauri.

Last edited by a moderator: