Mtaji wa sh. 5ml naweza kufanya biashara gani?

Mtaji wa sh. 5ml naweza kufanya biashara gani?

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Ama kweli elimu ya darasani nitofauti ma elimu ya kitaa.

Nmesoma ktk maisha ya chini sana ukijumlisha kiasi cha ada toka primary mpaka form six hakifiki laki sita; wakati leo mtoto wa kindergaten hata fedha ya mhula mmoja haitoshi so ukali wa maisha unabana.

Na sasa najarbu kutoka nje ya box la utegemezi wa mshaara tu ila sijui niaanzie wapi.

Siku za nyuma nilikuwaga nawaza nikipata hata one million ntaanza biashara,Leo nina mil 5 lakini sijui ntoke vip?

Wakuu nionesheni njia wapi pa kupita least niweze pata faida ya 20000/day.

Plz nahitaji ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli elimu ya darasani nitofauti ma elimu ya kitaa. Nmesoma ktk maisha ya chini sana ukijumlisha kiasi cha ada toka primary mpaka form six hakifiki laki sita; wakati leo mtoto wa kindergaten hata fedha ya mhula mmoja haitoshi so ukali wa maisha unabana.... Na sasa najarbu kutoka nje ya box la utegemezi wa mshaara tu ila sijui niaanzie wapi.... Sku za nyuma nilikuwaga nawaza nkpata hata one million ntaanza biashara.... Leo nina mil 5 lakini sjui ntoke vip?? Wakuu nionyesheni njiaa wapi pa kupita least niweze pata faida ya 20000/day. Plz nahitaji ushauri....

dah mkuuu huoni cha kufanya sirius? upo maeneo gan maana biashara inakuwa determined na maeneo......ukiwa upo sirius ndo ujib kama haujawa crius basi tena..... nitakupa mwanga kdogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom