Charles1990
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 251
- 48
[/COLOR][/B]
- Aidea haitolewi kama Dawa vile, si sawa na kusema unaumwa kichwa watuwakakwambia kunywa Paracetamol, panadol, Aidea ya biashara nin kitu kinginekabisa Dada, huwezi kuwa mwanza mtu yuko Dar ukampa wazo la biashara,
1. Nitakua nimejua vipi mazingira ya huko?
Hapa ni kudanganyana na hii kitu haipo mahali popote pale duniani zaidiya hapa kwamba unaweza mpigia mtu wewe uko Arusha na yeye Dar ukamshauri anzekufanya biashara fulani,
- Na hilo la Bodaboda si business aidea, aidea gani.
Your English teacher REALLY failed you.
hiyo ni kweli kabisa. Tujifunze kuwa na idea mpya ili tutamaniwe siyo kutamani. Kaka hapo juu umenikuna.....
hiyo ni kweli kabisa. Tujifunze kuwa na idea mpya ili tutamaniwe siyo kutamani. Kaka hapo juu umenikuna.....
Nunua bodaboda 3 wape vijana boda moja kwa siku ni tsh 6000 mara 3=18000, ndani ya miaka miwili utakua umetengeneza faida ya m 7.
nipo tabata Segerea. nadhani hii ya boda boda itakuwa nzuri.
Hapa ni kudanganyana tu, mimi niko Arusha jamaa yuko Darmimi nimpe aidea gani? Nafahamu vipi mazingira ya Dar? najua vip triends yahuko Dar? hapa tufanya business aidea sawa na utabili wa hali ya hewa.
- Aidea haitolewi kama Dawa vile, si sawa na kusema unaumwa kichwa watuwakakwambia kunywa Paracetamol, panadol, Aidea ya biashara nin kitu kinginekabisa Dada, huwezi kuwa mwanza mtu yuko Dar ukampa wazo la biashara,
1. Nitakua nimejua vipi mazingira ya huko?
Hapa ni kudanganyana na hii kitu haipo mahali popote pale duniani zaidiya hapa kwamba unaweza mpigia mtu wewe uko Arusha na yeye Dar ukamshauri anzekufanya biashara fulani,
- Na hilo la Bodaboda si business aidea, aidea gani hiyo wakati nibiashara ipo na inafanwa na watu kibao? wewe leo huwezi anzisha Duka la kuuzaVocha halafu ukaanza kutamba kwamba una Aidea nzuri,
NA THE BEST BUSINESS AIDEA NI UNAYO FOMULATE MWENYEWE, NA SI YAKUTABILIWA KAMA BAHATI NA SIBU, NCHI KAMA MAREKANI AMBAYO ILIANZA MIAKA MIAKAZAA ILIYO PITA STILL BADO KUNA AIDEA ZA KUFA MTU SASA
- MTU KAMA HUWEZI KUJA NA WAZO LAKO ZURI LA BIASHARA HUTAWEZA HATAKUSIMAMIA BIASHARA YAKO, TUNAKWEPA SANA KUUMIZA VICHWA THAT IS WAHY
Mjasiriamali Wa kweli hawezi uliza swali Kama hili, wazo la biashara hutangulia kabla a fedha, kuna watu Wengi sana ambao akipata hata Laki moja in mind Anakuwa anajua exactly atakachofanya!
Da utaniua kwa kucheka sana,ila inasikitisha sana na comment yako ni very challengingWATANZANIA TUNAPENDA SANA BIASHARA RAHISI NA ZISIZO HITAJI AKILI KABISA, BIASHARA YA BODABODA INAFANYWA NA WATU AMBAO WAMEFIKIA MWISHO WA KUFIKILIA NA AMBAO NA WAVIVU WAKUTUMIA AKILI
- Kwa magreat thinker kuja na wazo la Bodaboda ni kitu cha ajabu sana, ni kwa nini tusipende kuwekeza katika miradi yenye tija kwa taifa hili
1. Kwa nini si miradi yenye tija kwa taifa hili?
2. Kwa nini si uwekezaji ambao hata watu wa nje watatamani kufanya na wewe kazi?
3. Hii biashara si sustainable hata kidogo na sijui mtu mwenye hii biashara huwa anaplani niniu mbeleni
- Anzisha biashara ambayo miika kumi ijayo itakuwa ni biashara kubwa sana ndani na nje ya nchi hii,
- Watanzania utakuta mtu ana gest house moja ana Bodaboda tatu, ana kibanda cha simu na vocha, sasa mtu kama huyi sijui huwa anataget nini kuja kuwa vipi,
-HII DUNIA NI YA USHINDANI MKUBWA SANA NA KWA SASA ATAKAYE SAVAVIVE NI MTU ANAYE KUWA NA IDEA ILIYO ENDA SHULE, JARIBUNI KUTEMBELEA African Report muone vijana wa nchi zingine mawazo yao ya biashara, huwezi kuta vuijana kama wakule NIGERIA WANAPEANA USHAURI WA BODABODA HATA SIKU MOJA,
Nilizama Aidea ambayo hata ukiitwa kwenda kupresent mahali watu wanakuna vichwa na kukuona wewe ni mtu mwingine kabisa, sasa unaitwa unaenda kupresent Bajaji na Bodaboda utaonekana wa ajabu sana
True ndio maana hili kuavoid kutosa tosa madereva bora upate kijana muaminfu ili mambo yaende vizuri.