Hapa ni kudanganyana tu, mimi niko Arusha jamaa yuko Darmimi nimpe aidea gani? Nafahamu vipi mazingira ya Dar? najua vip triends yahuko Dar? hapa tufanya business aidea sawa na utabili wa hali ya hewa.
- Aidea haitolewi kama Dawa vile, si sawa na kusema unaumwa kichwa watuwakakwambia kunywa Paracetamol, panadol, Aidea ya biashara nin kitu kinginekabisa Dada, huwezi kuwa mwanza mtu yuko Dar ukampa wazo la biashara,
1. Nitakua nimejua vipi mazingira ya huko?
Hapa ni kudanganyana na hii kitu haipo mahali popote pale duniani zaidiya hapa kwamba unaweza mpigia mtu wewe uko Arusha na yeye Dar ukamshauri anzekufanya biashara fulani,
- Na hilo la Bodaboda si business aidea, aidea gani hiyo wakati nibiashara ipo na inafanwa na watu kibao? wewe leo huwezi anzisha Duka la kuuzaVocha halafu ukaanza kutamba kwamba una Aidea nzuri,
NA THE BEST BUSINESS AIDEA NI UNAYO FOMULATE MWENYEWE, NA SI YAKUTABILIWA KAMA BAHATI NA SIBU, NCHI KAMA MAREKANI AMBAYO ILIANZA MIAKA MIAKAZAA ILIYO PITA STILL BADO KUNA AIDEA ZA KUFA MTU SASA
- MTU KAMA HUWEZI KUJA NA WAZO LAKO ZURI LA BIASHARA HUTAWEZA HATAKUSIMAMIA BIASHARA YAKO, TUNAKWEPA SANA KUUMIZA VICHWA THAT IS WAHY