Natafakari ikiwa mtaji wa Milioni moja waweza tosha kwa kuanzia biashara ya ufugaji,km yupo mwenye experience zaidi na biashara hii anisaidie kufunguka zaidi ili nijue hii industry ina ugumu zaidi wapi, na makadirio ya chini ya kuanzia inagharimu zaidi ya hapo?