Mtaji wa Shilingi milioni moja unatosha kufanya biashara ya kuku?

Mtaji wa Shilingi milioni moja unatosha kufanya biashara ya kuku?

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
522
Reaction score
343
Kwema wana JF!

Natafakari ikiwa mtaji wa Milioni moja waweza tosha kwa kuanzia biashara ya ufugaji,km yupo mwenye experience zaidi na biashara hii anisaidie kufunguka zaidi ili nijue hii industry ina ugumu zaidi wapi, na makadirio ya chini ya kuanzia inagharimu zaidi ya hapo?

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ontario alianza na laki moja na elfu ishirini.
 
Back
Top Bottom