Mtaji wa tsh 1,000.000 (1million) nitafanya biashara gani?

Mtaji wa tsh 1,000.000 (1million) nitafanya biashara gani?

Tafuta eneo zuri..choma chips kuku na frigi mbili ya cocacola na pepsi ..umetajirika.
 
wewe unafikiria biashara gani mkuu?

Shida yetu wabongo tunachukulia mambo kirahisi sana, kauliza hivyo tu anataka apewe majibu afu mwisho wa siku akifeli ndo aanze kujilaumu, hasemi yuko wapi, ameikiria biashara gani na kwa nini!?, nini anatarajia kutokana na biashara hiyo, changamoto, nguvu kazi.....e.t.c, e.t.c..
 
uza vinywaj kama maj,,soda,bia kwa jumla na rejareja.eeer...extra thngs ita depend na htaj la wateja wa eneo watakalo kuzunguka.
 
Wakuu, Nina 1m hapa naweza kuwekeza kwenye biashara gani ndogo inayolipa?
 
Wakuu, Nina 1m hapa naweza kuwekeza kwenye biashara gani ndogo inayolipa?

Hela ya kula unayo au unategemea hiyo hiyo milioni? tusije kukushauri biashara ya milioni moja kumbe kesho umebaki na laki tatu!
 
Biashara ndogo? ok
fungua genge!!!! weka nyanya,bamia,vitunguu..........
 
jaribu kutafuta mkuu miongozo ming ya biashara na kwa kiwango cha pesa yako imetolewa tayari.
 
Back
Top Bottom