zegebovu1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 415
- 135
Nawashangaaa sana watu wanaodharau poutry farming hiii biashara imewatajirisha watu ila mtu unatakiwa ujue kila kitu kinaaanzia chini kuna watu wanavuna kuku 7000 kila mwezi na walianza na kuku 500 hebu fikiria kama kila kuku anamwingizia 1000 tu. Hakuna biashara isiyo na risk hakuna biashara rahisi watu wote hawawezi kufanya biashara moja.