Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Naomba kujua iyo ni milioni au milioni kumi?
wewe unafikiria biashara gani mkuu?
Utasikia wanakuja na ishu za kufuga kuku.
fuga nguruwe
nicheki pm
Wakuu, Nina 1m hapa naweza kuwekeza kwenye biashara gani ndogo inayolipa?