Mtaji wa tsh 1,000.000 (1million) nitafanya biashara gani?

Nawashangaaa sana watu wanaodharau poutry farming hiii biashara imewatajirisha watu ila mtu unatakiwa ujue kila kitu kinaaanzia chini kuna watu wanavuna kuku 7000 kila mwezi na walianza na kuku 500 hebu fikiria kama kila kuku anamwingizia 1000 tu. Hakuna biashara isiyo na risk hakuna biashara rahisi watu wote hawawezi kufanya biashara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…