Mtaji wa Tsh. milioni 1 ninaweza kulima pilipili kichaa?

A love

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
93
Reaction score
119
Wadau,

Nina kiasi cha Tsh. 1 milioni, je ninaweza kulima pilipili kichaa kwa hekari moja? Ni eneo gani zuri na mkoa gani mzuri kwa hicho kilimo? Pia soko lipoje?
 
Ndio unaweza, apo utapata mbegu,mbolea na pamp ndogo ya kuanza nayo

Soko lipo

Lima kwa mkataba na vegrab organic farming ltd uuze pilipili yako kwa soko la uhakika
 
AFRICAN BIRD EYES CHILLI (ABE CHILLI) ni zao linalolimwa hapa nchini Tanzania kupitia kampuni ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, na kampuni zingine.

VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, reg.132632 ilianzishwa na kuanza project hii tangu mwaka 2017, na inafanya kazi katika mikoa 18 Tanzania Bara.

inashirikiana na Halmashauri za wilaya, local NGOs and international NGOs, pamoja na Farmers' groups.

Mazao yote yanayozalishwa hununuliwa na kampuni ya VEGRAB kwa bei ya kuanzia sh.5000 nakuendelea kutegemea na demand ya wakati huo, 5,000/= ikiwa legal price.

Ili kuingia makubaliano ya kimkataba Kampuni itakupatia mbegu ya ABE CHILLI kwa bei ya 200,000/= cash, au 320,000/=, 50,000/= ukitanguliza kwa mkopo na kubaki deni 270,000/= ambayo utalipa taratibu 15% ya mauzo yako mpaka utakapo maliza deni.

Mkataba unahusisha wafuatao
1.Afisa kilimo wilaya
2.Mzalishaji
3.Mnunuzi
4.Mwanasheria
5.Shahidi wa mkulima.

MBEGU YA MKATABA Packet moja ni 50g na ina zalisha miche mpaka 10,000.
Ekari moja hupandwa kwa miche 5120. VEGRAB haiuzi mbegu kwa mtu asiye mkulima wa kampuni pia kwa mtu ambaye hana mazingira ya chanzo cha maji.

(kisima,mto,bwawa, au hali ya mvua za kutosha ni kigezo MUHIMU Ili kuhudumiwa). Bila vigezo hivi kutimia hatuuzi mbegu wala kutoa mkataba

Pia kampuni, inamuelekeza mkulima kutumia mbolea ya MOKUSAKU ambayo ni 100% ORGANIC, kwani kampuni hufanya kilimo asilia(ORGANIC FARMING)
Mbolea hizi ziko aina 3, ambazo ni kupandia,kukuzia na kubebeshea kwa gharama ya 85,000/= zote tatu mpaka kuvuna.

Zao hili hustawi zaidi maeneo yasiotuamisha maji(si waterlogged) na yanayopata maji ya kumwagilia nyakati za jua kali(kiangazi),
Pia huvumilia sana hali ya joto kali au baridi kali hivyo kuwa na wide range ya supportive environments. Japo baridi ikizidi ina madhara kwenye ABE CHILLI kuliko joto kuzidi. (10-40)*C ni tolerable.
Udongo 4.5 to 9 PH

Zao huanza na VITALU kisha kuhamishiwa shambani,
Zao hudumu kitaluni kwa muda wa siku 45, na shambani siku 75 mpaka 90 kisha kuanza kuvuna.

Pilipili ikivunwa huanikwa kwa Muda wa siku 3,kisha kuwekwa kwenye viroba/sandarusi.

Ekari moja huzalisha kilo 1000 mpaka 3000 kwa mwaka mmoja, na zao hudumu miaka mitatu na kuendelea. Mkataba pia ni wa miaka mitatu.

Kampuni hununua mzigo muda wote wa uzalishaji, na kmpuni hulipia gharama za usafirishaji.

Makao makuu ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD yako
Mabibo mwisho B&N House of Apartment plot no.42 block D,Kigogo street Dar es salaam Tanzania.

Mawasiliano +255769058814

OPERATIONAL MANAGER.
 
H

Hawa ndio wenye Makao Makuu kule Kenya au nawachanganya? Andiko linashawishi ila isije ikawa kama wale JATU au Vanilla Village!
 
Makao makuu ni Dar es salaam mkuu
Ni uwekezaji mzuri ila kikwazo hapo ni upatikanaji wa maji ya uhakika kwani mashamba yetu mengi yako porini sana mbali na vyanzo vya maji. Hata hivyo nimependa sana huu uwekezaji. Labda sasa nipeni ushauri wa mahali ninapoweza kuwekeza, mimi nipo Dar ila nina ardhi huko Jaribu Mpakani. Jaribu Mpakani iko Utete ila zamani ilikuwa ndio MPAKA wa Dar na Pwani, in fact bado ndio mpaka wa Dar na Pwani. Nishaurini, pesa ya kuwezesha uwekezaji huu kufuatana na maelezo yenu IPO, yaani NINAYO.
 
Piga 0769058814 utapatiwa maelekezo kwa upana zaid mkuu
 
Ndio unaweza, apo utapata mbegu,mbolea na pamp ndogo ya kuanza nayo

Soko lipo

Lima kwa mkataba na vegrab organic farming ltd uuze pilipili yako kwa soko la uhakika
Sasa kwa heka moja, mtu akianza atarudisha kweli at gharama alizotumia? Kwa wakulims,mbolea etc, hapo c atakuwa amepoteza tuu pesa yake na hajarudisha hata aliyotumia kwa kilimo hicho? Naombeni basi ufafanuzi labda mimi ndiyo sielewi
 
Angalia tu hizo Pilipili zisije kukufanya na wewe kichaa
 
Nimependa sana maelezo ya huu mradi. Mimi nipo Dar es Salaam lakini ni mwenyeji wa wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma. Kule kuna ardhi ya mimi kuweza kuwekeza katika mradi huu maana kuna uhakika wa soko. Ni maswali machache. 1. Je inawezekana kwa mimi kulima kutokea Mbinga? 2. Ile bei ya sh 5000 ni kjwa kipimo gani, namaanisha kilo, debe, sado au?
 
Back
Top Bottom