Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Hapo watu wanataka wafanye biashara ya mbegu zao ukishalima humuoni mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AFRICAN BIRD EYES CHILLI (ABE CHILLI) ni zao linalolimwa hapa nchini Tanzania kupitia kampuni ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, na kampuni zingine.
VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, reg.132632 ilianzishwa na kuanza project hii tangu mwaka 2017, na inafanya kazi katika mikoa 18 Tanzania Bara.
inashirikiana na Halmashauri za wilaya, local NGOs and international NGOs, pamoja na Farmers' groups.
Mazao yote yanayozalishwa hununuliwa na kampuni ya VEGRAB kwa bei ya kuanzia sh.5000 nakuendelea kutegemea na demand ya wakati huo, 5,000/= ikiwa legal price.
Ili kuingia makubaliano ya kimkataba Kampuni itakupatia mbegu ya ABE CHILLI kwa bei ya 200,000/= cash, au 320,000/=, 50,000/= ukitanguliza kwa mkopo na kubaki deni 270,000/= ambayo utalipa taratibu 15% ya mauzo yako mpaka utakapo maliza deni.
Mkataba unahusisha wafuatao
1.Afisa kilimo wilaya
2.Mzalishaji
3.Mnunuzi
4.Mwanasheria
5.Shahidi wa mkulima.
MBEGU YA MKATABA Packet moja ni 50g na ina zalisha miche mpaka 10,000.
Ekari moja hupandwa kwa miche 5120. VEGRAB haiuzi mbegu kwa mtu asiye mkulima wa kampuni pia kwa mtu ambaye hana mazingira ya chanzo cha maji.
(kisima,mto,bwawa, au hali ya mvua za kutosha ni kigezo MUHIMU Ili kuhudumiwa). Bila vigezo hivi kutimia hatuuzi mbegu wala kutoa mkataba
Pia kampuni, inamuelekeza mkulima kutumia mbolea ya MOKUSAKU ambayo ni 100% ORGANIC, kwani kampuni hufanya kilimo asilia(ORGANIC FARMING)
Mbolea hizi ziko aina 3, ambazo ni kupandia,kukuzia na kubebeshea kwa gharama ya 85,000/= zote tatu mpaka kuvuna.
Zao hili hustawi zaidi maeneo yasiotuamisha maji(si waterlogged) na yanayopata maji ya kumwagilia nyakati za jua kali(kiangazi),
Pia huvumilia sana hali ya joto kali au baridi kali hivyo kuwa na wide range ya supportive environments. Japo baridi ikizidi ina madhara kwenye ABE CHILLI kuliko joto kuzidi. (10-40)*C ni tolerable.
Udongo 4.5 to 9 PH
Zao huanza na VITALU kisha kuhamishiwa shambani,
Zao hudumu kitaluni kwa muda wa siku 45, na shambani siku 75 mpaka 90 kisha kuanza kuvuna.
Pilipili ikivunwa huanikwa kwa Muda wa siku 3,kisha kuwekwa kwenye viroba/sandarusi.
Ekari moja huzalisha kilo 1000 mpaka 3000 kwa mwaka mmoja, na zao hudumu miaka mitatu na kuendelea. Mkataba pia ni wa miaka mitatu.
Kampuni hununua mzigo muda wote wa uzalishaji, na kmpuni hulipia gharama za usafirishaji.
Makao makuu ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD yako
Mabibo mwisho B&N House of Apartment plot no.42 block D,Kigogo street Dar es salaam Tanzania.
Mawasiliano +255769058814
Ahsante mkuu kwa muongozo huo,nipo Dodoma.AFRICAN BIRD EYES CHILLI (ABE CHILLI) ni zao linalolimwa hapa nchini Tanzania kupitia kampuni ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, na kampuni zingine.

OPERATIONAL MANAGER.
Ulijibiwa??Nimependa sana maelezo ya huu mradi. Mimi nipo Dar es Salaam lakini ni mwenyeji wa wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma. Kule kuna ardhi ya mimi kuweza kuwekeza katika mradi huu maana kuna uhakika wa soko. Ni maswali machache. 1. Je inawezekana kwa mimi kulima kutokea Mbinga? 2. Ile bei ya sh 5000 ni kjwa kipimo gani, namaanisha kilo, debe, sado au?
Mkuu kama unalima kwa mkataba means mkataba utamfunga mnunuaji.Hapo watu wanataka wafanye biashara ya mbegu zao ukishalima humuoni mtu
Nijibiwe wapi?Ulijibiwa??
Mkuu Ni Bora utumie laki kulima michicha,bamia, Chinese,au spinach na utapata faida Mara dufu na kila baada ya muda mfupi sio pilipili kichaaWadau,
Nina kiasi cha Tsh. 1 milioni, je ninaweza kulima pilipili kichaa kwa hekari moja? Ni eneo gani zuri na mkoa gani mzuri kwa hicho kilimo? Pia soko lipoje?
By the way hakuna uwezekano wa kuweka picha ya hilo zao ili tuzidi kuelewa tunazungumzia nini! Kwani juzi nimewaona mkiwa Kigoma na zao hili lakini ikaonekana kama ni pilipili kichaa zile ndogo ndogoau pia kama pilipili mbuzi! Hebu saidieni katika hili.Asante Samwel nitapiga.
AFRICAN BIRD EYES CHILLI (ABE CHILLI) ni zao linalolimwa hapa nchini Tanzania kupitia kampuni ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, na kampuni zingine.
VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, reg.132632 ilianzishwa na kuanza project hii tangu mwaka 2017, na inafanya kazi katika mikoa 18 Tanzania Bara.
inashirikiana na Halmashauri za wilaya, local NGOs and international NGOs, pamoja na Farmers' groups.
Mazao yote yanayozalishwa hununuliwa na kampuni ya VEGRAB kwa bei ya kuanzia sh.5000 nakuendelea kutegemea na demand ya wakati huo, 5,000/= ikiwa legal price.
Ili kuingia makubaliano ya kimkataba Kampuni itakupatia mbegu ya ABE CHILLI kwa bei ya 200,000/= cash, au 320,000/=, 50,000/= ukitanguliza kwa mkopo na kubaki deni 270,000/= ambayo utalipa taratibu 15% ya mauzo yako mpaka utakapo maliza deni.
Mkataba unahusisha wafuatao
1.Afisa kilimo wilaya
2.Mzalishaji
3.Mnunuzi
4.Mwanasheria
5.Shahidi wa mkulima.
MBEGU YA MKATABA Packet moja ni 50g na ina zalisha miche mpaka 10,000.
Ekari moja hupandwa kwa miche 5120. VEGRAB haiuzi mbegu kwa mtu asiye mkulima wa kampuni pia kwa mtu ambaye hana mazingira ya chanzo cha maji.
(kisima,mto,bwawa, au hali ya mvua za kutosha ni kigezo MUHIMU Ili kuhudumiwa). Bila vigezo hivi kutimia hatuuzi mbegu wala kutoa mkataba
Pia kampuni, inamuelekeza mkulima kutumia mbolea ya MOKUSAKU ambayo ni 100% ORGANIC, kwani kampuni hufanya kilimo asilia(ORGANIC FARMING)
Mbolea hizi ziko aina 3, ambazo ni kupandia,kukuzia na kubebeshea kwa gharama ya 85,000/= zote tatu mpaka kuvuna.
Zao hili hustawi zaidi maeneo yasiotuamisha maji(si waterlogged) na yanayopata maji ya kumwagilia nyakati za jua kali(kiangazi),
Pia huvumilia sana hali ya joto kali au baridi kali hivyo kuwa na wide range ya supportive environments. Japo baridi ikizidi ina madhara kwenye ABE CHILLI kuliko joto kuzidi. (10-40)*C ni tolerable.
Udongo 4.5 to 9 PH
Zao huanza na VITALU kisha kuhamishiwa shambani,
Zao hudumu kitaluni kwa muda wa siku 45, na shambani siku 75 mpaka 90 kisha kuanza kuvuna.
Pilipili ikivunwa huanikwa kwa Muda wa siku 3,kisha kuwekwa kwenye viroba/sandarusi.
Ekari moja huzalisha kilo 1000 mpaka 3000 kwa mwaka mmoja, na zao hudumu miaka mitatu na kuendelea. Mkataba pia ni wa miaka mitatu.
Kampuni hununua mzigo muda wote wa uzalishaji, na kmpuni hulipia gharama za usafirishaji.
Makao makuu ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD yako
Mabibo mwisho B&N House of Apartment plot no.42 block D,Kigogo street Dar es salaam Tanzania.
Mawasiliano +255769058814
OPERATIONAL MANAGER.
Nyie mnazingua, watu wamesha lipia kila kitu kuja kuweka mbegu ktk kitalu inachikua mwezi mzima,,mpaka shamba linakuwa tena na mijani kibao mnatupa mashaka kiongozi ,
Mimi nimeipata kuwasiliana na mawakala wa kampuni ya vittesse wao wanakuuzia mbegu 150000/= Ila unalipia nauli ya mutu kuja kukupandia kwenye kitalu ,pia Kuna Hawa wengine wanajiita AFRO-TZ wao wanauza mbegu 200,000/= kukopa Ni 250000/= unatanguliza 50000/= au kununua Miche Ni 250000 kwa mkopo Ni 300000/= unatanguliza 120000/= Ila kwa haraka niliona Kama vittese inamtandao mkubwa zaidi japo kwa hapa Mara nilipo nashirikiana na Hawa AFRO-TZ ndo nimeanza kulimaOkay,
Kuhusu mbegu, mnakopesha ila kwa sharti la kutanguliza 50,000/=
Vipi kuhusu mbolea, MNAKOPESHA PIA au LA?
Swali la pili,,,,,,,, mmeeleza kwamba mpo mikoa takribani 13. Fafanua kidogo, kama ni Morogoro,,,, wilaya, kijiji, kata ama kitongoji gani?
Hali kadharika na Dodoma ama Popote pengine.
Hii itatusaidia sisi kwenda kujifunza kwao baada ya kusoma ANDIKO lenu hapa.
Mimi nimeipata kuwasiliana na mawakala wa kampuni ya vittesse wao wanakuuzia mbegu 150000/= Ila unalipia nauli ya mutu kuja kukupandia kwenye kitalu ,pia Kuna Hawa wengine wanajiita AFRO-TZ wao wanauza mbegu 200,000/= kukopa Ni 250000/= unatanguliza 50000/= au kununua Miche Ni 250000 kwa mkopo Ni 300000/= unatanguliza 120000/= Ila kwa haraka niliona Kama vittese inamtandao mkubwa zaidi japo kwa hapa Mara nilipo nashirikiana na Hawa AFRO-TZ ndo nimeanza kulima
Ongezea minofu ndugu; inaonekana hawako serious eehNyie mnazingua, watu wamesha lipia kila kitu kuja kuweka mbegu ktk kitalu inachikua mwezi mzima,,mpaka shamba linakuwa tena na mijani kibao mnatupa mashaka kiongozi ,
kumbe kuna changamoto kubwa namna hii? kama ni heka 5 au zaidi, si itagharimu laki kadhaa kuua hayo majani? ama wameishabuni njia za kutiana hasara?Nyie mnazingua, watu wamesha lipia kila kitu kuja kuweka mbegu ktk kitalu inachikua mwezi mzima,,mpaka shamba linakuwa tena na mijani kibao mnatupa mashaka kiongozi ,
Ongezea minofu ndugu; inaonekana hawako serious eeh
kumbe kuna changamoto kubwa namna hii? kama ni heka 5 au zaidi, si itagharimu laki kadhaa kuua hayo majani? ama wameishabuni njia za kutiana hasara?
Poleni Sana ola ninacho washauri pandeni nyie wenyewe, maana Vipimo vinajulikana. Masoko yapo tena yanayolipa vizuri. Kama mko wengi na mnaweza kuvuna kuanzia tani moja mimi nitawakonect na soko huko huko wanakouza hao.Kwa maelezo yao kama alivyo andika samweli kila kitu tume fanya , ila kumleta jamaa aje shamba kupanda mbegu ktk kitalu Ndio issue,we fikilia shamba lipo tayari mbegu zinachukua siku 45 kitaluni harafu ziamishiwe shamba,kisha wao kuja kupanda hawataki, wewe uta wachukuliaje?
ila kuna jambo naomba niulize labda litatoa ufumbuzi wa changamoto kama hizi kwa mkulima.Ndio hivyo mkuu, inabidi ufanye tu kwa sababu usha yavulia nguo
Mkuu mimi nina eneo sehemu na mbegu za ABE Chilli za kubwa sana na za kutosha. Eneo kando ya kijito kischokauka majo mwaka mzima.AFRICAN BIRD EYES CHILLI (ABE CHILLI) ni zao linalolimwa hapa nchini Tanzania kupitia kampuni ya VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, na kampuni zingine.