Mtaji wa Tsh. milioni 1 ninaweza kulima pilipili kichaa?

A

Ahsante mkuu kwa muongozo huo,nipo Dodoma.
 
Ulijibiwa??
 
Wadau,

Nina kiasi cha Tsh. 1 milioni, je ninaweza kulima pilipili kichaa kwa hekari moja? Ni eneo gani zuri na mkoa gani mzuri kwa hicho kilimo? Pia soko lipoje?
Mkuu Ni Bora utumie laki kulima michicha,bamia, Chinese,au spinach na utapata faida Mara dufu na kila baada ya muda mfupi sio pilipili kichaa
 
Okay,
Kuhusu mbegu, mnakopesha ila kwa sharti la kutanguliza 50,000/=
Vipi kuhusu mbolea, MNAKOPESHA PIA au LA?
Swali la pili,,,,,,,, mmeeleza kwamba mpo mikoa takribani 13. Fafanua kidogo, kama ni Morogoro,,,, wilaya, kijiji, kata ama kitongoji gani?
Hali kadharika na Dodoma ama Popote pengine.
Hii itatusaidia sisi kwenda kujifunza kwao baada ya kusoma ANDIKO lenu hapa.
 
Nyie mnazingua, watu wamesha lipia kila kitu kuja kuweka mbegu ktk kitalu inachikua mwezi mzima,,mpaka shamba linakuwa tena na mijani kibao mnatupa mashaka kiongozi ,
 
Nyie mnazingua, watu wamesha lipia kila kitu kuja kuweka mbegu ktk kitalu inachikua mwezi mzima,,mpaka shamba linakuwa tena na mijani kibao mnatupa mashaka kiongozi ,
Mimi nimeipata kuwasiliana na mawakala wa kampuni ya vittesse wao wanakuuzia mbegu 150000/= Ila unalipia nauli ya mutu kuja kukupandia kwenye kitalu ,pia Kuna Hawa wengine wanajiita AFRO-TZ wao wanauza mbegu 200,000/= kukopa Ni 250000/= unatanguliza 50000/= au kununua Miche Ni 250000 kwa mkopo Ni 300000/= unatanguliza 120000/= Ila kwa haraka niliona Kama vittese inamtandao mkubwa zaidi japo kwa hapa Mara nilipo nashirikiana na Hawa AFRO-TZ ndo nimeanza kulima
 
Si tupo na hao VEGRAB ORGANIC FARMING LTD, kuja kukupandia ktk kitalu ni issue japo umelipia ,sa hatujui wanazingua Kwa watu wote au ni baadhiw ya watu
 
Nyie mnazingua, watu wamesha lipia kila kitu kuja kuweka mbegu ktk kitalu inachikua mwezi mzima,,mpaka shamba linakuwa tena na mijani kibao mnatupa mashaka kiongozi ,
Ongezea minofu ndugu; inaonekana hawako serious eeh
 
Nyie mnazingua, watu wamesha lipia kila kitu kuja kuweka mbegu ktk kitalu inachikua mwezi mzima,,mpaka shamba linakuwa tena na mijani kibao mnatupa mashaka kiongozi ,
kumbe kuna changamoto kubwa namna hii? kama ni heka 5 au zaidi, si itagharimu laki kadhaa kuua hayo majani? ama wameishabuni njia za kutiana hasara?
 
Ongezea minofu ndugu; inaonekana hawako serious eeh

Kwa maelezo yao kama alivyo andika samweli kila kitu tume fanya , ila kumleta jamaa aje shamba kupanda mbegu ktk kitalu Ndio issue,we fikilia shamba lipo tayari mbegu zinachukua siku 45 kitaluni harafu ziamishiwe shamba,kisha wao kuja kupanda hawataki, wewe uta wachukuliaje?
 
kumbe kuna changamoto kubwa namna hii? kama ni heka 5 au zaidi, si itagharimu laki kadhaa kuua hayo majani? ama wameishabuni njia za kutiana hasara?

Ndio hivyo mkuu, inabidi ufanye tu kwa sababu usha yavulia nguo
 
Poleni Sana ola ninacho washauri pandeni nyie wenyewe, maana Vipimo vinajulikana. Masoko yapo tena yanayolipa vizuri. Kama mko wengi na mnaweza kuvuna kuanzia tani moja mimi nitawakonect na soko huko huko wanakouza hao.

Vipi mnalimia wapi????/??
 
Hizi pilipili ni tamu, huwa ninaziponda na kusamvu. Mbali na maharage mboga zote huwa ninaweka pilipili moja tu ya ladha.
 
Ndio hivyo mkuu, inabidi ufanye tu kwa sababu usha yavulia nguo
ila kuna jambo naomba niulize labda litatoa ufumbuzi wa changamoto kama hizi kwa mkulima.
Kilimo ni gharama sana, Mtu amemaliza kulima alafu anakaa mwezi mzima au hata na zaidi bila kuletewa mbegu wala mbolea kama ilivyo ainishwa ktk mkataba.
Na hauwezi kupanda mbegu unayoitaka wewe kwakuwa utatoka nje ya mkataba.
SWALI; MWANASHERIA anaetakiwa uwe nae wakati wa kusaini mikataba kazi yake ni nini?
Shamba limeota majani, unatakiwa ulime tena ndipo upande mbegu. Je, utaratibu wa kupotezeana MUDA & KUTIANA HASARA kwa kulima shamba mala mbili, MWANASHERIA hawezi kusimamia hayo?
Kwanini kujutia wakati MWANASHERIA NA MIKATABA IPO?
 
Mashamba mengi yapo mbali, Mtu anasaini MIKATABA alafu anaweka kambi shambani,,,,, mwisho wa siku watu wanaweka mgomo baridi kuleta mbegu na mbolea.
Haki ya mungu hapo lazima Mwanasheria afanye kazi, vinginevyo na yeye namuweka ndani.😜😜🤪🤪🤪
 
Mkuu mimi nina eneo sehemu na mbegu za ABE Chilli za kubwa sana na za kutosha. Eneo kando ya kijito kischokauka majo mwaka mzima.
Eneo lina rutuba sama huweki mbolea yeyote.

Je mnaweza kununua kwangu hizo pilipili kwa bei pungufu kidogo na ya wateja wa mkataba sababu sijanunua mbegu kwenu?

Kwa sasa zinaota zenyewe ovyo tu. Naweza kukuletea sample zile mbichi (green) au siku chache zijazo mbivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…