macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Aisee hiyo formula ya risk assesment imenichekesha sana. Na kweli kwenye biashara ndivyo walivyo wasomi wengi. Akiweka formula kama hiyo uliyoandika kwenye calculator anajikuta anaogopa kila biashara.Kwa mawazo haya mkuu, utatafuta mchawi wa maendeleo yako kumbe ni wewe!!!! Ndio maana wengi waliofanikiwa ktk ujasiriamali ni wale hata shule hawakwenda/hawakufika mbali, wao risk sio inshu, lakini nyie ma prof. Utachukua calculator fomula nyingi, risk assessment,*fire/floods=project not viable
Sawa ndugu nimekusomaNajua,lakini kama mtu upo serious kweli gunia 300 ni nyingi mno kuziweka home kwenye risk kubwa.
Weka hata godown za mashineni wana bima na kama ni mpunga hawakutozi hata storage isipokuwa unatakiwa ukobolee mashineni kwao na pumba uwaachie
Najua,lakini kama mtu upo serious kweli gunia 300 ni nyingi mno kuziweka home kwenye risk kubwa.
Weka hata godown za mashineni wana bima na kama ni mpunga hawakutozi hata storage isipokuwa unatakiwa ukobolee mashineni kwao na pumba uwaachie
We unawaza kufeli tuHivi ilitokea ajali ya moto hapo home inakuwaje?
Kwenye biashara siku zote hupaswi kuangalia faida tu.We
We unawaza kufeli tu
RubbishKwa mawazo yako haya bila shaka wewe utakuwa ni msimamizi wa godown mojawapo linalomilikiwa na mume wa dada yako
Amekupa kazi kukunusuru na ujobless hivyo uko hapa kutafuta wateja
Umenifurahisha sana na huu ujumbe kwanza nilisha poteza 2millions
The Monk huu mjadala umeharibiwa na hao waliokuja na jazba zao from nowhere.
Ungeuona uzi kabla haujahaririwa na kufutwa comment za matusi pengine huo uwasilishaji wangu usingeutilia shaka.
Umenifurahisha sana na huu ujumbe kwanza nilisha poteza 2millions
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha sana na huu ujumbe kwanza nilisha poteza 2millions
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe ulipoteza 2M
Zaidi ya 15MUlipoteza ngapi mzee baba?
dodge
Daah pole sana mkuu.
dodge