0909Hekima
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 226
- 65
Wana JF wenzangu, muhali gani? Muwazima? Ama baada ya salamu ningependa kuwasilisha jambo na pia kuomba ushauri wenu wa mawazo ili tu nami niwe mwenye kufunzika na kunufaika, mimi nipo Mwanza, Malimbe na pia nina mtaji wa mil. 2 na nusu, ningeomba mchango wenu juu ya idea gani ya biashara yenye kufaa na kuendana na eneo nililopo kwani ni jambo ambalo limekuwa likinisumbua sana bila ya kupata suluhisho, tafadhali naomba mchango wako wa mawazo, asanteni sana.