na saa zile kubwa
na hela ya saluni umesahau nywele zilambwe kama manyoya then zishine kwa afro curly gelly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na saa zile kubwa
Multlevel marketing distribution
check with nikuelekeze
0713297066
i thought iyo mil 2.5 ni savings...kama ingekua ela ya kula c angeshaitumia....nothing comes easy...u should note that in most other business ideas part kubwa ya huo mtaji utaishia kwenye start up costs
Anza biashara ya kuku wa kisasa
Biashara ya bodaboda
Wana JF wenzangu, muhali gani? Muwazima? Ama baada ya salamu ningependa kuwasilisha jambo na pia kuomba ushauri wenu wa mawazo ili tu nami niwe mwenye kufunzika na kunufaika, mimi nipo Mwanza, Malimbe na pia nina mtaji wa mil. 2 na nusu, ningeomba mchango wenu juu ya idea gani ya biashara yenye kufaa na kuendana na eneo nililopo kwani ni jambo ambalo limekuwa likinisumbua sana bila ya kupata suluhisho, tafadhali naomba mchango wako wa mawazo, asanteni sana.
Je hapo unapokaa ni busy area? Kama ni busy area tafuta chumba cha biashara uanze na drinks za azam na MAJI nakua anza uweke kitu kama Maxcom machine (unaweza kunitumia private message )ambayo utauza vouchers na Airtel money ipo kwenye Maxcom machine utaweka kama laki 3 hivi uanze nazo na vitu ambavyo utafanya utafiti na kujua wateja wanataka nini?
Kam siyo busy area acha usiingie kwenye biashara hii utapoteza hela yako
unaweza kunitumia private email kwa maelezo mengine kama utataka