0909Hekima
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 226
- 65
mkuu unataka jamaa apoteze hiyo 2.5!!!biashara hiyo inahitaji maandalizi si ya kukurupuka utaozesha samaki ubaki unalia!!!Langua samaki sato peleka tabora au dodoma utauza na faida utapata.
Langua samaki sato peleka tabora au dodoma utauza na faida utapata.
Hapa inategemea na wewe una idea gani maana tunaweza kutoka povu kutoa ushauri lakini mwisho wa siku kuna kitu unafikili tupe unachofikili kwanza wewe
Wewe mwanafunzi wa saut hiyo hela ya bum itapotea maliza kwanza chuo
Kama mtu hawezi kuumiza kichwa chake kutafuta wazo la biashara, basi hata kutafuta soko utarudi humu kuuliza sasa niuzeje,
Biashara si ishu ya kitoto hata kidogo, unahitaji some time kuonekana kama mwenda wazimu. Na safari ya kufanikiwa au kutokufanikiwa kwenye ujasiriamali wako huanzia kwenye wazo, ni wazo pekee ndo litadetermine safari yako, so huhitaji kufanya mzaha kabisa na idea
Na the best business idea ni ile unayo tengeneza wewe mwenyewe, kwa kuangalia wakato uliopo na ujao, mazingira na kazalika
Wana JF wenzangu, muhali
gani? Muwazima? Ama baada ya salamu ningependa kuwasilisha jambo na pia
kuomba ushauri wenu wa mawazo ili tu nami niwe mwenye kufunzika na
kunufaika, mimi nipo Mwanza, Malimbe na pia nina mtaji wa mil. 2 na
nusu, ningeomba mchango wenu juu ya idea gani ya biashara yenye kufaa na
kuendana na eneo nililopo kwani ni jambo ambalo limekuwa likinisumbua
sana bila ya kupata suluhisho, tafadhali naomba mchango wako wa mawazo,
asanteni sana.
Wadau naomba
ushauri,nimefanikiwa kupata kiasi hicho cha pesa hapo juu, je nibiashara
gani inayoweza kunizalishia ili niuepuke umaskini?
Ungekuwa Dar Ungeweza kukopesha kwa riba. Nina dharura nataka kutatua, kwa kuanzia ungeweza kunikopesha Mimi Mil 1 nikakukabidhi mali ya thamani tukaandikishana kisha nikakurudishia mil 1.5 baada ya muda tutakao kubaliana.
Wana JF wenzangu, muhali gani? Muwazima? Ama baada ya salamu ningependa kuwasilisha jambo na pia kuomba ushauri wenu wa mawazo ili tu nami niwe mwenye kufunzika na kunufaika, mimi nipo Mwanza, Malimbe na pia nina mtaji wa mil. 2 na nusu, ningeomba mchango wenu juu ya idea gani ya biashara yenye kufaa na kuendana na eneo nililopo kwani ni jambo ambalo limekuwa likinisumbua sana bila ya kupata suluhisho, tafadhali naomba mchango wako wa mawazo, asanteni sana.
subir mwez wa 7 wkt wa mavuno gunia la maindi linauzwa adi 25000...nunua maindi then hifadh kwenye drums...ikifika february bei huwa inapanda had 90000
Imba bongofleva nasikia inalipa,laki4 studio,milion moja unawalipa kina ruge kupitia OSATA iliyobak unanunua skin jeans na miwan meus mikubwa
kwa hiyo mili 2 anayoitegemea izalishe apate mkate wa kila siku then unamwambia adeal na faida ya wenye pesa za kuwekeza na wakazisahau..maana hadi feb ndo faida