Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
- Thread starter
- #21
Umachiaveli umefafanuliwa katika andiko hilo.Nimekutana na msamiati mpya kwangu ambao sijauelewa maana yake , umachiaveli maana yake please.
Ni itikadi ya Niccolo Machiavelli, muitaliano wa kale.
Alifundisha kwamba: lengo jema linaweza kunaikishwa kwa mbinu yoyote, hata kama ni haramu.