Mtakatifu Paulo, ulaghai wa kutumia misamiati tata, na umachiaveli

Nimekutana na msamiati mpya kwangu ambao sijauelewa maana yake , umachiaveli maana yake please.
Umachiaveli umefafanuliwa katika andiko hilo.

Ni itikadi ya Niccolo Machiavelli, muitaliano wa kale.

Alifundisha kwamba: lengo jema linaweza kunaikishwa kwa mbinu yoyote, hata kama ni haramu.
 
Inawezekana mtu kuyasoma kw njia ya mtandao? Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…