Mtake msitake Kuanzia sasa Marekani ni Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz!!

Mtake msitake Kuanzia sasa Marekani ni Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kwamba Marekani inarejesha kizuizi chake cha majini dhidi ya Iran, akitangaza kwamba Marekani sasa itajulikana kama "Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz."

Pia alitangaza ukusanyaji wa ada ya 20% kwa mizigo yote inayopita kwenye mlango bahari.

 
Kwafaida ipi ?

80% ya mafuta yanayo uzwa Iran yanaenda China bila makato ya aina yoyote kutoka Marekani.

Iran inaokota tozo kama kawaida kwa kila meli ya machawa wa Marekani kufidia madhara ya vita .

Kwa ufupi Marekani amefeli kwenye hii vita. hakukua na ulazima wa Marekani kutumia force kwa Iran wakati Dunia ilikua inaona progress ya Iran kinyuklia .

Now ni vita ya Israel-Marekani na Iran.
 
Screenshot_2026-07-13-21-31-35-70_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Pia alitangaza ukusanyaji wa ada ya 20% kwa mizigo yote inayopita kwenye mlango bahari.
Kweli mmechaganyikiwa, mlilaumu Iran kudai mapato cha ajabu US aliyepinga naye anataka mapato, tena ni 20%!!

Hii nayo ni strategic failure ya Trump maana haitoungwa mkono na washirika wake.
 
Kweli mmechaganyikiwa, mlilaumu Iran kudai mapato cha ajabu US aliyepinga naye anataka mapato, tena ni 20%!!

Hii nayo ni strategic failure ya Trump maana haitoungwa mkono na washirika wake.
Suala si kuungwa mkono na Washirika wake hapa suala ni reinstatement of the blockade in the Strait of Hormuz ili Iran waisome namba vizuri!!

Rais Donald Trump amelitaalifu Bunge rasmi kuhusu kuanza tena kwa operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Iran leo.

Hii inatimiza majukumu yake ya kuripoti chini ya Azimio la Mamlaka ya Vita la 1973, ambapo Rais anatakiwa kuliarifu Bunge ndani ya saa 48 baada ya kuanzisha Vikosi vya Jeshi la Marekani katika uhasama au hali ambapo uhasama unakaribia.
 

Attachments

  • IMG_5620.jpeg
    IMG_5620.jpeg
    175.6 KB · Views: 13
  • IMG_5621.jpeg
    IMG_5621.jpeg
    133.5 KB · Views: 19
Back
Top Bottom