Sio Israel?Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kwamba Marekani inarejesha kizuizi chake cha majini dhidi ya Iran, akitangaza kwamba Marekani sasa itajulikana kama "Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz."
Pia alitangaza ukusanyaji wa ada ya 20% kwa mizigo yote inayopita kwenye mlango bahari.
View attachment 3628535
Kweli mmechaganyikiwa, mlilaumu Iran kudai mapato cha ajabu US aliyepinga naye anataka mapato, tena ni 20%!!Pia alitangaza ukusanyaji wa ada ya 20% kwa mizigo yote inayopita kwenye mlango bahari.
Suala si kuungwa mkono na Washirika wake hapa suala ni reinstatement of the blockade in the Strait of Hormuz ili Iran waisome namba vizuri!!Kweli mmechaganyikiwa, mlilaumu Iran kudai mapato cha ajabu US aliyepinga naye anataka mapato, tena ni 20%!!
Hii nayo ni strategic failure ya Trump maana haitoungwa mkono na washirika wake.