ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
natumaini nipo kwenye wote hapoJumapili njema wote niwapendao.
Mungu awaongoze kwenye kila la kheri
jumapili njema Mwifwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natumaini nipo kwenye wote hapoJumapili njema wote niwapendao.
Mungu awaongoze kwenye kila la kheri
Amina barikiwa dear Mungu akutunze ndio natoka kwenye Misa takatifu..Jumapili njema Da'Vinci
Wewe na mungu wapi na wapi?Amina barikiwa dear Mungu akutunze ndio natoka kwenye Misa takatifu..
1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
Mhubiri 12 :1
2 Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua;
Mhubiri 12 :2
Ahsante sana rafiki kipenzi. Nawe pia uwe na Jumapili njema iliyo na furaha tele.
Naomba niwepo hapo kwenye "woteeeeee"
Mkuu wanifaham vizuri?Wewe na mungu wapi na wapi?
Mkuu huyo kwenye avatar yako ni Mwenyeheri JOSEPH ALAMANOMimi nawatakia Jumapili njema, tulivu na yenye amani Members wote wa JamiiForums walio hai, Wahariri wa hili Jamvi ( Moderators ), Watendaji wote wa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums na Waanzilishi wake wote ( Founders ) kwa kutuletea hii ' platform ' ambayo pengine kama isingekuwepo hivi sasa GENTAMYCINE ningekuwa ' Kijiweni ' tu nacheza ' Kamali ' za Karata tatu au Nasokota ' jani ' kama siyo kuhangaika kuwavizia Wake za Watu na kuwatongoza.
Ninawapenda nyote humu mwaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh....pokeeni hilo busu langu ambalo limetukuka kabisa.
Asante bongeVizuri kidevu, Uwe na siku njema[emoji6]
Ahsante kitoo,ngoja tumsubiri SYB "Dadii" aamke tumtakie jumapili njema kwa pamoja...Jumapili njema mzee wa maparachichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shemeji wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawajapatikana bado ila Mungu atajaalia watapatikana.Ahsante kitoo,ngoja tumsubiri SYB "Dadii" aamke tumtakie jumapili njema kwa pamoja...
Iwe siku iliyo na mazingira ya kukupa furaha tele...
Wale ulio wapata kwa "kuwatafuta" wazima?