Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Jumapili njema Da'Vinci
Amina barikiwa dear Mungu akutunze ndio natoka kwenye Misa takatifu..
1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
Mhubiri 12 :1

2 Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua;
Mhubiri 12 :2
 
Wewe na mungu wapi na wapi?
 
Mimi nawatakia Jumapili njema, tulivu na yenye amani Members wote wa JamiiForums walio hai, Wahariri wa hili Jamvi ( Moderators ), Watendaji wote wa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums na Waanzilishi wake wote ( Founders ) kwa kutuletea hii ' platform ' ambayo pengine kama isingekuwepo hivi sasa GENTAMYCINE ningekuwa ' Kijiweni ' tu nacheza ' Kamali ' za Karata tatu au Nasokota ' jani ' kama siyo kuhangaika kuwavizia Wake za Watu na kuwatongoza.

Ninawapenda nyote humu mwaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh....pokeeni hilo busu langu ambalo limetukuka kabisa.
 
Mkuu huyo kwenye avatar yako ni Mwenyeheri JOSEPH ALAMANO
 
Ahsante kitoo,ngoja tumsubiri SYB "Dadii" aamke tumtakie jumapili njema kwa pamoja...
Iwe siku iliyo na mazingira ya kukupa furaha tele...
Wale ulio wapata kwa "kuwatafuta" wazima?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shemeji wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawajapatikana bado ila Mungu atajaalia watapatikana.
Asantee shem ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…