Naomba niwepo hapo kwenye "woteeeeee"
Maana wengine tuna mikosi yetu,hata kwenye "woteeeeee" naweza nisiwemo...
Asanteee sana na wewe uwe na jumapili njemaaaHappy Sunday Demiss ! I love u
Uwe na jumapili njema pachaAhsante sana rafiki kipenzi. Nawe pia uwe na Jumapili njema iliyo na furaha tele.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana Pacha wa mie nawe pia uwe na jumapili iliyo njema. Na natumahi majukumu yako yaliyo mengi ya siku ya leo yamekwenda poa.Uwe na jumapili njema pacha
Si haba nami nimo kwenye msafara.
Ahsante!
Asante Numbisa
Jumapili njema shemNaomba niwepo hapo kwenye "woteeeeee"
Maana wengine tuna mikosi yetu,hata kwenye "woteeeeee" naweza nisiwemo...
Teh!Jumapili njema kwa wote ambao hatujaenda church week ijayo tujitahidi watumishi
Hakika ni njema mama[emoji120] [emoji120]Jumapili njema shem
Namshukuru Mungu nimeamka si woye waliopata bahati ya kuiona leo[emoji120][emoji120]Hakika ni njema mama[emoji120] [emoji120]
Vipi kwako ina kwendaje?
[emoji123] [emoji123]Mkuu wanifaham vizuri?
Usichukulie siriaz mambo tunayopost humu..
Kuhusu mm kiimani
Ni mwimbaji wa kwaya sauti ya nne na 3
Ni mkatoriki mwana kalsmatiki
Ni mwalimu pia wa kwaya
Lakini mm ni mwanadamu mwenye mapungufu...
Asante MtumishiSawa Mtumishi[emoji1] [emoji1]
Umefufuka umekuja kwa Shari au kheriTeh!