Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Jumapili njema kwa wanajf wooote!!
Nawapenda bila upendeleo!!

Lakini zaidi niwatakie wooote ambao wamo humu maandalizi mema ya UE, naamini wamezaliwa kuwa washindi!! Mungu awatangulie kwenye maandalizi yao!
 
Sawa bro ningekua bado mm wa zamani ungeijutia hiyo kauli..
Mnajifanya superstars kumbe tunawachora tu maisha yenu ya kitaa yalivyo..
Pole sana nadhani hujui kama napafaham hadi unapoishi
Karibu sana...mimi superstar ww
 
Na kwako pia
Lakini dah nimepitia post zote hakuna aliyemkumbuka mzee wa ini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
But my Queen yupo ktk moyo wangu Siku zote
Mzee wa Ini akii..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] next jumapili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimekukumbukaa,upo kwenye neno "wote"
Na kwako pia
Lakini dah nimepitia post zote hakuna aliyemkumbuka mzee wa ini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
But my Queen yupo ktk moyo wangu Siku zote
 
Back
Top Bottom