Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Nawatakia jumapili njema all lengeds wa Jamii forums wakiongozwa na alwatani mshana jr..hahaaa, kwa wanaume na sky eclat Kwa wanawake... Pia salamu ziwafikie member wengine wooooote wa jf, jumapili iwe njema kwenu,,nawapenda Sana Na mungu awabariki.
 
Jumapili njema kwangu na kwa wale wanitakiao mema wote.
Mungu atuguse leo na kutuangazia.
 
madereva wote ambao ni wanafamilia wa jf nawatakia jumapili njema na majukumu mema
 
Back
Top Bottom