Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
nipe loc kule dm nilete mpk mlangoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipe loc kule dm nilete mpk mlangoni
Thats ma heartbeat😍😍😍Pole, mwaka mpya nitakuja kukukanda kukutoa uchovu
Ngoja nikajimwagie kwanza
View attachment 2057435
Waoooooo.....Thats ma heartbeat😍😍😍
LavyuuuWaoooooo.....
Lavyuuu
Ahsante sana,kaka mkubwa[emoji7],na kwako pia[emoji120]Kwanza nashukuru MUNGU, Kwa kutuweka hai,
Napenda kuchukua fursa hii, kuwatakia kheri, ya Christmas na mwaka mpya
finacial sevises
mshanajr
jiwejr
mawardat
Zero IQ
Moderator
Na member wengine wote,nawatakia sherehe njema!!!!!
MTAKIE KHERI MWANA JF YEYOTE UNAYEMKUBALI.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yes, mwanajeshi wangu wa infantria Karma upendo mwingi sana juu yako. 2022 punguza usela damu yangu unaweza ukayawin back mapenzi.
Saint Anne dada yangu wa Ulaya ya Tanzania, hana makuu kabisa, very polite and social with high self-esteem. Huwezi mkuta anaomba koneksheni ya mirinda hata kama ilimpita, hana time na worldly things kivile ye anapenda kuenjoy nature (God's creation). Pia ana mwandiko mzuri [emoji2][emoji2]
Extrovert Anaupiga mwingi, mnyamwezi flani japo amezaliwa TZ
billdrago a.k.a bolo yanki
Emiir T 1990 ELY moudgulf Shimba Ya Buyenze Kashaija72 mkwepu jr Mshana Jr @financial services
I, donlucchese of the Lucchese family mpiganaji wa Castellammarese War, Nawatakia kheri ya Mwaka mpya 2022
😂Yes, mwanajeshi wangu wa infantria Karma upendo mwingi sana juu yako. 2022 punguza usela damu yangu unaweza ukayawin back mapenzi.
Saint Anne dada yangu wa Ulaya ya Tanzania, hana makuu kabisa, very polite and social with high self-esteem. Huwezi mkuta anaomba koneksheni ya mirinda hata kama ilimpita, hana time na worldly things kivile ye anapenda kuenjoy nature (God's creation). Pia ana mwandiko mzuri [emoji2][emoji2]
Extrovert Anaupiga mwingi, mnyamwezi flani japo amezaliwa TZ
billdrago a.k.a bolo yanki
Emiir T 1990 ELY moudgulf Shimba Ya Buyenze Kashaija72 mkwepu jr Mshana Jr
I, donlucchese of the Lucchese family mpiganaji wa Castellammarese War, Nawatakia kheri ya Mwaka mpya 2022
Asante dada❤Na mimi naomba niwatakie heri watu wangu wa nguvu kama ifuatavyo
Naanza na my step daughter Heaven Sent. Sijui ulifikiria nini kujiita hivi ila jina hili limepita mulemule.... you're truly a heaven sent gift to us. Mungu akutunze huu mwaka na mingine ijayo uendelee kufanyika baraka kwa wote wanaokuzunguka. Msalimie mzee wako Kaboom mwambie nimemmisi...na mama yako hivi ndio yule Habun? Mwambie namtakia heri ya mwaka mpya
Mdogo wangu Saint Anne umekuwa ndugu yangu sasa sio rafiki tu..mwaka 2022 ukawe mwaka wa kutimiziwa ndoto zako.
Karma Joanah Carleen financial services my babe Culture Me nawatakieni kila lenye heri
Kaka zangu, wadogo zangu, rafiki zangu Relief Mirzska The Monk Mjep my pachaz RRONDO TANMO Chaliifrancisco Bonny (umepotea sana) Bufa MO11 Extrovert Shimba Ya Buyenze Watu8 my uncle andjul Carlos The Jackal Inside10
Wadau wangu wote wa vituko mitandaoni mkiongozwa na mzee wenu mshirikina Mshana Jr nawasalimu Sana
Wadau wangu wa uzi wa likes sijawasahau nawakumbuka Sana... capitalpool my all time crush awawakilishe kwenye salamu zenu
Wadau wangu wakorea weusi DAEMUSHIN Numbisa Nifah The Happiness wengine majina yenu magumu jamani[emoji28][emoji28]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
AmenAsante dada[emoji173]
Mungu azidi kutubariki mambo yaende vizuri mwaka huu[emoji120]
Na mimi naomba niwatakie heri watu wangu wa nguvu kama ifuatavyo
Naanza na my step daughter Heaven Sent. Sijui ulifikiria nini kujiita hivi ila jina hili limepita mulemule.... you're truly a heaven sent gift to us. Mungu akutunze huu mwaka na mingine ijayo uendelee kufanyika baraka kwa wote wanaokuzunguka. Msalimie mzee wako Kaboom mwambie nimemmisi...na mama yako hivi ndio yule Habun? Mwambie namtakia heri ya mwaka mpya
Mdogo wangu Saint Anne umekuwa ndugu yangu sasa sio rafiki tu..mwaka 2022 ukawe mwaka wa kutimiziwa ndoto zako.
Karma Joanah Carleen financial services my babe Culture Me nawatakieni kila lenye heri
Kaka zangu, wadogo zangu, rafiki zangu Relief Mirzska The Monk Mjep my pachaz RRONDO TANMO Chaliifrancisco Bonny (umepotea sana) Bufa MO11 Extrovert Shimba Ya Buyenze Watu8 my uncle andjul Carlos The Jackal Inside10
Wadau wangu wote wa vituko mitandaoni mkiongozwa na mzee wenu mshirikina Mshana Jr nawasalimu Sana
Wadau wangu wa uzi wa likes sijawasahau nawakumbuka Sana... capitalpool my all time crush awawakilishe kwenye salamu zenu
Wadau wangu wakorea weusi DAEMUSHIN Numbisa Nifah The Happiness wengine majina yenu magumu jamani[emoji28][emoji28]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120]Nawatakia kheri ya mwaka mpya , uongozi, menejimenti, wafanyakazi wote wa jf
, Member wote.
Nawapenda sana!