Na mimi naomba niwatakie heri watu wangu wa nguvu kama ifuatavyo
Naanza na my step daughter
Heaven Sent. Sijui ulifikiria nini kujiita hivi ila jina hili limepita mulemule.... you're truly a heaven sent gift to us. Mungu akutunze huu mwaka na mingine ijayo uendelee kufanyika baraka kwa wote wanaokuzunguka. Msalimie mzee wako
Kaboom mwambie nimemmisi...na mama yako hivi ndio yule
Habun? Mwambie namtakia heri ya mwaka mpya
Mdogo wangu
Saint Anne umekuwa ndugu yangu sasa sio rafiki tu..mwaka 2022 ukawe mwaka wa kutimiziwa ndoto zako.
Karma Joanah Carleen financial services my babe
Culture Me nawatakieni kila lenye heri
Kaka zangu, wadogo zangu, rafiki zangu
Relief Mirzska The Monk Mjep my pachaz
RRONDO TANMO Chaliifrancisco Bonny (umepotea sana)
Bufa MO11 Extrovert Shimba Ya Buyenze Watu8 my uncle
andjul Carlos The Jackal Inside10
Wadau wangu wote wa vituko mitandaoni mkiongozwa na mzee wenu mshirikina
Mshana Jr nawasalimu Sana
Wadau wangu wa uzi wa likes sijawasahau nawakumbuka Sana...
capitalpool my all time crush awawakilishe kwenye salamu zenu
Wadau wangu wakorea weusi
DAEMUSHIN Numbisa Nifah The Happiness wengine majina yenu magumu jamani[emoji28][emoji28]
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app