Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Asante sana mkuu nawe pia nikutakie sikukuu njema ya kumbukumbuku ya kuzaliwa Mfalme wetu,
Masia, Yesu kristo Mkombozi
 
Ahsante nakutakia heri ya Christmas na mwaka mpya pia mkuu lyenyi 🌲🥰
 
Nawatakia heri ya Noel jamaa wote wa JF kesho kama kuna binti yuko free anicheki tukapunge upepo na kufurahia dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…