Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Kwanza nashukuru MUNGU, Kwa kutuweka hai,
Napenda kuchukua fursa hii, kuwatakia kheri, ya Christmas na mwaka mpya
finacial sevises
mshanajr
jiwejr
mawardat
Zero IQ
Moderator
Na member wengine wote,nawatakia sherehe njema!!!!!
MTAKIE KHERI MWANA JF YEYOTE UNAYEMKUBALI.


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Heri ya xmass na fanaka kwenu members wote ambao ni wadau wangu
 
Back
Top Bottom