Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Nichukue nafasi hii kuwatakia kheri ya Christmas member wote wa jamii forum....tusheherekee kwa amani na upendo Mungu akiwa upande wetu.....

Member Wenzetu walio kwenye mitihani ya maradhi Mungu awafanyie wepesi......

IDUMU JAMIIFORUMS, WADUMU GREAT THINKERS......
 
Mimi napenda kuwatakia kheri ya Christmas Mods wote ambao hua wananilima Ban

Happy Christmas day
 
Back
Top Bottom