Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Usiku mwema ma and pa. Nyie ndo marafiki zangu wa ukweli coz mlinipenda kabla hamjanijua hadi sasa hamuwezi niacha kwenye shida hats dunia nzima itakaponizomea bado mtakua upande wangu.
 
Huu uzi kila siku naukagua! Sitajwi! Ngoja leo nijitakia asubuhi njema mwenyewe! Good morning slimTano!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana mkuu Slim5: napenda nikutakie kila la kheri na baraka tele kiongozi
 
siku njema Mwifwa: NAHUJA: MBITYAZA: Joseverest: na wengineo wote humu Jf mungu atubariki sana sote kwa pamoja wakuu...
 
Back
Top Bottom