Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Wakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie Ameen...baada ya kusema hayo mie napenda kuwatakia watu wangu wote wa karibu wenye upendo na mimi, na wana jf wote napenda kuwatakia usiku mwema nyote.