Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

20639f92611f2010f60feb53a2c0ae8f.jpg
Wanawatakia usiku mwema.
Sawasawa
 
Nikutakie usiku mwema na njozi mororo ewe mdada mzuri usiekuwa na choyo mwenye kufurahi muda wote na tabasamu zuri mfano wa UA uwaridi lichanuavyo wakati wa asubuhi....
Mungu akutumie malaika wake walinzi kila kona. See you rafiki emmyta [emoji1309]
 
Ahsante sana rafiki. Japokuwa nimechelewa kuiona hii rafiki ila tu nikushukuru sana sana. Ubarikiwe mno rafiki.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom