Mtakuja kutuua...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitakuwa kilio cha kusaga meno labla ya kuingi ahera.
 
Hali taiti kwelikweli unataka upewe hela usiitolee jasho pigwa pumb had kukauke kabisa ukiweka tishu inawaka moto
 
Mbavu zangu miyeeeee. Daaaah, hii imenikumbusha kipindi flani nilimfukuzia mtu kitambo ananizungusha huku ananiomba hela, mara vocha. Siku aliyoingia 18 zangu sijui zile nguvu zilitoka wapi, nadhani kama ni jini mahaba basi alikuja double, nilikung'uta mtu akaja kunikimbia akaniacha room bado jembe limesimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…