Mtakuja kutuua...

Mlipima afya zenu?
Maana mziki wa vumbi la kongo siyo R&B bali ni Singeli mwanzo mwisho.

Najua full mchubuko.
Maana niliwahi kuitumia kwa kiumbe mmoja dah!
 
Sijui, nakumbuka nilijipa huduma ya kwanza kwa kuweka barafu ikawa kama pamepata ganzi hiyo ndo pona yangu la sivyo ningekalia mgongo badala ya kalio
Ila we uliinjoi unatuzuga tu.... Mbona unaisimulia incident hii kwa raha hivi????
 
Dada kwa ule moto hapasafishiki bana yani ukipamwagia maji unasikia hadi mishipa inavibrate, kwanza pamejaa hadi pamefunga kidole hakipiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…