Mtakuja kutuua...

Mtakuja kutuua...

Niliblock namba bro, baada ya siku tatu mwili kupoa, na organ zote za mwili kurudi katika hali ya kawaida nikarudi kwa ile number taratibu nikai unblock....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakumbuka kuna mzungu nilishawahi kumpa hiki kichapo ila mimi sio masaa manne non stop.
Ila ilikuwa masafa sana.

Kuna wazungu sikumbuki walikuwa wa mara ya ngapi Mzungu akaita uber usiku.

Sikumaliza kasema mimi sio binadamu wa kawaida na nilikunywa viagra kumkomoa

Nikamwambi situmiagi dawa mimi.
Scotch Whisky ni viagra tosha kwangu.

Alikunywa konvashee shot kibao ila zikikata zote akili ikarudi.

Nikamuacha akaondoka sa kumi hio.

Asubuhi naamka nakuta kasahau kibikini chake.

Nikapigwa kimya kama wiki mbili.
Akaanza tena kunisifia anataka gemu. Hahaha.

Sasa hivi namvizia mzigua90.
Lazima aje kuanzisha thread.
 
kwani nmesema sikusikia raha
ilianza kama pepa la hesabu linavoanza
50+52
30*5
huko mbele umri wa John ni mara kumi ya umri wa Asha tafuta umri wa Juma
ndo utajua!!!
Inaonekana kama kazi yako ni mwalimu
Pole na kipigo cha mbwa koko
 
Lakini si ulipata usingiz Mololo.mwili ukawa mwepesi kabisa karibu siku tatu akili yako ikawa imetulia inawaza maendeleo
 
Litakua ni jambo la kheri kama mlitumia walau rough rider ila kama kavu litakua n jambo la hatari sana
 
Back
Top Bottom