Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Huyo jamaa ana Mungu wake. Ila nina imani hapo juu harudi tena.
Kifo hakijaribiwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ana Mungu wake. Ila nina imani hapo juu harudi tena.
Ohooookisha pesa anayopata hapo jioni anaenda kuhonga ili amwage bao 2
ME kama wamelaaniwa vile
dah, nimecheka kwa sauti.Huyo jamaa ana Mungu wake. Ila nina imani hapo juu harudi tena.
Kifo hakijaribiwi
Hapo atasema ameokoka kwa ujanja wake au kwa nguvu ya energy drink au alkasusi kumbe nihurumatu ya Mungu