To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Umevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti Kimanga mpaka Kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio?
Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple shoes.. Mbona zipo na rahisi kutembelea umbali wowote.
Wanaume nanyi mnaangalia tu,eti? Mi naona hizi mambo tuwaachie wenye usafiri,eti?