Mtakuja vunja miguu nyie

Mtakuja vunja miguu nyie

Acha tu tuvunjike bana hiyo kiatu ina raha yake[emoji3]

Kuna siku nimetoka zangu church Kuna wadada walikuwa nyuma yangu nikawasikia wananisema eti "mi siwezi hicho kiatu Kama fashoni zinipitege asa akiteleza kwenye marumaru halafu kanisani[emoji849]

Nikageuka niwaone wanaoongea eh![emoji54] matukunyema,ikabidi nijichekee tu.. nikasema halali yenu kusema[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂jamani ukiteleza si basi watakemea pepo
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Shilole[emoji38].

High hells inapendeza uwe na usafiri private hata km n ubber nje ya hapo naona n mateso tu,ila heels zipewe heshima na watu wote duniani[emoji7]
 
Back
Top Bottom