Mpaka sasa niko cha piliMi naona hizi mambo tuwaachie wenye usafiri,eti?
Aisee kweli walimu waTz ni tatizo jipya linalochipukiaUmevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti kimanga mpaka kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio?
Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple shoes.. Mbona zipo na rahisi kutembelea umbali wowote.
Wanaume nanyi mnaangalia tu,eti? Mi naona hizi mambo tuwaachie wenye usafiri,eti?
Mkuu walimu tumefanya nini this time tena?Aisee kweli walimu waTz ni tatizo jipya linalochipukia
😀😀😀😀kimanga kinyerezi sio mbali 😀😀😀kimanga mawenzi tu na sivai high heels😀😀Umevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti kimanga mpaka kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio?
Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple shoes.. Mbona zipo na rahisi kutembelea umbali wowote.
Wanaume nanyi mnaangalia tu,eti? Mi naona hizi mambo tuwaachie wenye usafiri,eti?
AaahaaaaahUmevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti kimanga mpaka kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio?
Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple shoes.. Mbona zipo na rahisi kutembelea umbali wowote.
Wanaume nanyi mnaangalia tu,eti? Mi naona hizi mambo tuwaachie wenye usafiri,eti?
Wamekutatiza nini!?Aisee kweli walimu waTz ni tatizo jipya linalochipukia
Andunje hao ndo wanaohangaikaUmevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti kimanga mpaka kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio?
Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple shoes.. Mbona zipo na rahisi kutembelea umbali wowote.
Wanaume nanyi mnaangalia tu,eti? Mi naona hizi mambo tuwaachie wenye usafiri,eti?
hahahahaMpaka To yeye kaelewa umemaanisha nini afu mi bado🙄
Ili uviweke vyote humo. Heels ikikuchosha, unahamia kwa simpo.Ndio maana wengine tunapenda kutumia handbags kubwa ikibidi...