Mtakumbuka huu UJUMBE , tunaelekea Tanzania kuwa kama ZIMBABWE.Ameandika Mheshimiwa Godbless Lema

Mtakumbuka huu UJUMBE , tunaelekea Tanzania kuwa kama ZIMBABWE.Ameandika Mheshimiwa Godbless Lema

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni kielelezo cha kupoteza hifadhi ya taifa, kushuka kwa imani ya wawekezaji, na kuathirika kwa uchumi kwa muda mrefu.

Dhahabu ni kinga, si suluhisho la haraka. Kulinda hazina hii ni kulinda uchumi wa taifa na mustakabali wake. Tukipuuza hili, hatari ya kuanguka kwa uchumi ni kubwa na madhara yake yatadumu vizazi.

Mtakumbuka huu UJUMBE , tunaelekea kuwa kama ZIMBABWE.

- Ameandika mhe. Godbless Lema.

1769800813872.png

chanz.BBC Swahili
 
Msoto tutakao pitia miaka miwili ijao hata zimbabwe itatushangaa

Tupo kwenye hatua za mwisho kutumbukia shimoni
Guyz guyz we are goin down!
 
sijawahi kuelewa kwa nini watanzagiza wanaupenda msemo wa ''tutakuwa kama zimbabwe'' tanzagiza iko nyuma ya zimbabwe kimaendeleo siku zote, zimbambwe is richer than tanzagiza, hatujawahi kuipiku zimbabwe hata siku moja ktk eneo lolote lile la kiuchumi, nafikiri wengi mnaangalia sana msn wanapoiponda zimbabwe, lkn jambo ambalo mnashindwa kuelewa labda ni kwamba wanalinganisha jinsi zimbabwe ilivyokuwa zamani na sasa ni kweli uchumi umeanguka mno lkn haujafikia kiwango cha tanzagiza.

na sababu kubwa inayostaajabisha wengi khs zimbabwe ni jinsi communists walivyobomoa nchi step by step mpaka kuimaliza lkn bado wako juu ya yetu kiuchumi, hivyo ilipaswa iwe zimbabwe ndiyo itakuwa kama tanzagiza na siyo kinyume chake ...
 
Dah Samia huyu katuweza

Kwa kifupi tumeyakanyaga
Mjibebe tena Wa-Tanganyika mufunge mikanda mukabiliane na hali ya uchumi kuwa ni mbaya. Na nchi Ma-Taifa ya Ulaya magharibi yamewasusia misaada yao hawatatoa tena kwenu Wa-Tanganyika.Mufunge mikanda kukabiliana na haili mbaya ya kiuchıumi mifumuko ya bei vitu kupanda na kodi itapanda na kila kitu kitapanda Bei.
 
Wanawake wana tabia moja.
Wakiwa na shida ya hela wanauza hata pete, mikufu na vyombo vya ndani., ili mradi apate pesa atatue tatizo linalomkabili. Haangalii madhara ya kuuza vitu hivyo
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom