sijawahi kuelewa kwa nini watanzagiza wanaupenda msemo wa ''tutakuwa kama zimbabwe'' tanzagiza iko nyuma ya zimbabwe kimaendeleo siku zote, zimbambwe is richer than tanzagiza, hatujawahi kuipiku zimbabwe hata siku moja ktk eneo lolote lile la kiuchumi, nafikiri wengi mnaangalia sana msn wanapoiponda zimbabwe, lkn jambo ambalo mnashindwa kuelewa labda ni kwamba wanalinganisha jinsi zimbabwe ilivyokuwa zamani na sasa ni kweli uchumi umeanguka mno lkn haujafikia kiwango cha tanzagiza.
na sababu kubwa inayostaajabisha wengi khs zimbabwe ni jinsi communists walivyobomoa nchi step by step mpaka kuimaliza lkn bado wako juu ya yetu kiuchumi, hivyo ilipaswa iwe zimbabwe ndiyo itakuwa kama tanzagiza na siyo kinyume chake ...