Tunguli ya Rais
Member
- Jan 25, 2019
- 49
- 60
Utatapeliwa wewe.....nakuhurumia utatapeliwa wewe...Wakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Am not a Christian. Thank youUsihangaike na "waosha nyota" wa dunia hii ambao wanakwenda kuichafua au kuiba kabisa nyota yako! Safisha nyota yako kwa Damu ya Yesu Kristo. Ukiwa unaoga chukua maji na jimwagie huku ukisema, Nasafisha nyota yangu kwa Damu ya Yesu Kristo. Rudia angalau mara 3, fanya hivyo kila wakati, sema; Nasafisha mwili wangu, roho na nafsi kwa Damu ya Yesu Kristo... Nasafisha maisha yangu kwa Damu ya Yesu Kristo, naondoa uharibifu wote wa kichawi na kiganga dhidi yangu, kazi yangu, familia yangu, mali zangu, etc. Sema mara nyingi kila wakati. Kama una imani utaona mambo yako yatakuwa sawa na mikosi itaondoka. Endelea kuchapa kazi manake mafanikio ni KAZI NA SALA!
Njoo inbox ntakushauri bila malipo yoyote.Am not a Christian. Thank you
Yesu kristo ndio nani?Usihangaike na "waosha nyota" wa dunia hii ambao wanakwenda kuichafua au kuiba kabisa nyota yako! Safisha nyota yako kwa Damu ya Yesu Kristo. Ukiwa unaoga chukua maji na jimwagie huku ukisema, Nasafisha nyota yangu kwa Damu ya Yesu Kristo. Rudia angalau mara 3, fanya hivyo kila wakati, sema; Nasafisha mwili wangu, roho na nafsi kwa Damu ya Yesu Kristo... Nasafisha maisha yangu kwa Damu ya Yesu Kristo, naondoa uharibifu wote wa kichawi na kiganga dhidi yangu, kazi yangu, familia yangu, mali zangu, etc. Sema mara nyingi kila wakati. Kama una imani utaona mambo yako yatakuwa sawa na mikosi itaondoka. Endelea kuchapa kazi manake mafanikio ni KAZI NA SALA!
Hiyo damu haiishi tu au ilipomwagika ilitengeneza kijito?Usihangaike na "waosha nyota" wa dunia hii ambao wanakwenda kuichafua au kuiba kabisa nyota yako! Safisha nyota yako kwa Damu ya Yesu Kristo. Ukiwa unaoga chukua maji na jimwagie huku ukisema, Nasafisha nyota yangu kwa Damu ya Yesu Kristo. Rudia angalau mara 3, fanya hivyo kila wakati, sema; Nasafisha mwili wangu, roho na nafsi kwa Damu ya Yesu Kristo... Nasafisha maisha yangu kwa Damu ya Yesu Kristo, naondoa uharibifu wote wa kichawi na kiganga dhidi yangu, kazi yangu, familia yangu, mali zangu, etc. Sema mara nyingi kila wakati. Kama una imani utaona mambo yako yatakuwa sawa na mikosi itaondoka. Endelea kuchapa kazi manake mafanikio ni KAZI NA SALA!
Mungu ana kilinge wapi mkuu?Utatapeliwa wewe.....nakuhurumia utatapeliwa wewe...
ACHA kabisa issue hizi.
NYOTA siku zote huwa inaendana na TAA yako pamoja na TABIA yako.
Hayupo mtaalamu wa kusafisha vyote hivyo isipokua MUNGU pekee .
Yesu Kristo ni Mungu aliyejifunua kwa wanadamu katika umbo la kibinadamu, ni Mungu pamoja nasi. Ndilo Jina tulilopewa kwa ukombozi wetu dhidi ya nguvu za giza. Kwa Jina la Yesu mapepo na majini hukimbia. Liite Jina la Yesu unapokumbwa na mashambulizi ya nguvu za giza utakuwa salama!Yesu kristo ndio nani?
Akatiwa nepi akauawa yaani mungu mkuu kwa maguvu yote tufundishwayo ajidhalilishe vile.Yesu Kristo ni Mungu aliyejifunua kwa wanadamu katika umbo la kibinadamu, ni Mungu pamoja nasi. Ndilo Jina tulilopewa kwa ukombozi wetu dhidi ya nguvu za giza. Kwa Jina la Yesu mapepo na majini hukimbia. Liite Jina la Yesu unapokumbwa na mashambulizi ya nguvu za giza utakuwa salama!
Damu ya Yesu ni Roho ya Yesu Mwenyewe. Haiishi kamwe na ndio raha ya imani kwa Yesu. Uhitaji kununua au kwenda kuitafuta mbali.Hiyo damu haiishi tu au ilipomwagika ilitengeneza kijito?
Naama alijishusha kabisa kama Maandiko yasemavyo; mpaka akafa mauti ya msalaba…Akatiwa nepi akauawa yaani mungu mkuu kwa maguvu yote tufundishwayo ajidhalilishe vile.
Tafuta hela kwanza maana nyota hazioshwi kwa laki ama nusu milionWakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Alokwambia Sina hela nani?Tafuta hela kwanza maana nyota hazioshwi kwa laki ama nusu milion
S udondoke kojani huko au giningi mkuuWakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Watu na imani dhao.Naama alijishusha kabisa kama Maandiko yasemavyo; mpaka akafa mauti ya msalaba…
Mungu ana uwezo wa kuwa kitu chochote. Kama Mungu alijionesha kama upepo, moto, nk kwanini isiwezekane atokee kama binadamu?
Nibei Gani mkubwaTafuta hela kwanza maana nyota hazioshwi kwa laki ama nusu milion
Rafiki yangu marasta anasafisha kwa 250Tafuta hela kwanza maana nyota hazioshwi kwa laki ama nusu milion
Kama una hela unahangaika kusafisha nyota ya niniAlokwambia Sina hela nani?