Mtalaamu wa nyota

Mtalaamu wa nyota

Usihangaike na "waosha nyota" wa dunia hii ambao wanakwenda kuichafua au kuiba kabisa nyota yako! Safisha nyota yako kwa Damu ya Yesu Kristo. Ukiwa unaoga chukua maji na jimwagie huku ukisema, Nasafisha nyota yangu kwa Damu ya Yesu Kristo. Rudia angalau mara 3, fanya hivyo kila wakati, sema; Nasafisha mwili wangu, roho na nafsi kwa Damu ya Yesu Kristo... Nasafisha maisha yangu kwa Damu ya Yesu Kristo, naondoa uharibifu wote wa kichawi na kiganga dhidi yangu, kazi yangu, familia yangu, mali zangu, etc. Sema mara nyingi kila wakati. Kama una imani utaona mambo yako yatakuwa sawa na mikosi itaondoka. Endelea kuchapa kazi manake mafanikio ni KAZI NA SALA!
Watu kama nyie ndio mnaongoza kwa tabia za kijinga ety damu ya yesu
 
Unaiona bahari isivyo kuwa na mwisho?
Basi ndio Damu ya Yesu Kristo ilivyo, haina mwisho walahi!
Ndo maana Kuna makanisa, kwanini msiwe mnaanzishaga mada za kidini na injili badala ya kuja kuharibu nyuzi za wenzenu.Unataka nambia huyu hajawahi ona makanisa au misikiti?Mtu anataka wakosha nyota muelekeze kama unajua huwezi nyamaza.Sio kuchimbachimba watu hapa.
 
Yesu Kristo ni Mungu aliyejifunua kwa wanadamu katika umbo la kibinadamu, ni Mungu pamoja nasi. Ndilo Jina tulilopewa kwa ukombozi wetu dhidi ya nguvu za giza. Kwa Jina la Yesu mapepo na majini hukimbia. Liite Jina la Yesu unapokumbwa na mashambulizi ya nguvu za giza utakuwa salama!
Kwahiyo wakati anazaliwa huyo unayemuita mungu DUNIA na sayari nyingine alikuwa anaongoza nani?

Au kuna waziri mkuu?
 
Back
Top Bottom