Mtalaamu wa nyota

Angeweza kujiokoa mwenyewe kwanza.
 
Mbona mnakwenda kwa waganga wa kienyeji kuoshwa na kula mavi ya waganga na maji ya maiti mnakunywa inakuwaje wewe kushindwa kuona ni fahari kuonshwa na Damu ya Mwana wa Mungu Yesu Kristo?!
Kwasababu hivyo ulivyovisema wanavifanya na kuviona laivu ..sio hio damu ya kufikirika
 
Angeweza kujiokoa mwenyewe kwanza.
Alitabiri na kuongelea kifo chake kwamba hakina budi kutokea na kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu. Mbona nyie wanawake mnakubali kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu si mngeweza kukataa (kujiokoa) wenyewe?!!
 
Kama huna imani je ?
 
Kama huna imani je ?
La ajabu ni kwamba Jina la Yesu kinaweza kutenda maajabu hata likitajwa na mtu asiyeamini! Mfano wale watu watendao kazi za giza na Lucifer wakitaja Jina la Yesu kuzimu yote huanguka magotini wakisujudu na lucifer ndio kabisa hutupwa chini vibaya. Ukiwa na imani ndio bab kubwa!
 
Na wao wamefata hayo.......ukiamini wewe inatosha......na mambo ya kiroho kila mtu ana njia zake sio mambo ya kucopy na kupaste
Ndio lakini uwe kwenye mambo ya kiroho ya MWANGA na sio ya GIZA. Wengi hawajui ukweli na uzuri wa Yesu hata wakristo wengi mno hawana habari wapo nusu nusu. Ukielewa na kuishika kweli ya Yesu ni raha sana.
 
Wakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Utapigwa na kitu kizito braza
 
Ndio lakini uwe kwenye mambo ya kiroho ya MWANGA na sio ya GIZA. Wengi hawajui ukweli na uzuri wa Yesu hata wakristo wengi mno hawana habari wapo nusu nusu. Ukielewa na kuishika kweli ya Yesu ni raha sana.
Mwanga au giza inategemea na matendo........shida kwa waamini yesu kila jambo wanaloona kama hatajwi yesu basi washamaliza kua ni la giza
 
Utatapeliwa wewe.....nakuhurumia utatapeliwa wewe...

ACHA kabisa issue hizi.

NYOTA siku zote huwa inaendana na TAA yako pamoja na TABIA yako.

Hayupo mtaalamu wa kusafisha vyote hivyo isipokua MUNGU pekee .
Wapo wataalam dunia hii ina maajab mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…